Baba Mtakatifu Benedict XV1 2005---2013
KANISA KATOLIKI LA ROMA NA VIONGOZI WAKE.. 01.
Baba Mtakatifu Benedict XV1 ametangaza kujiuzulu ifikapo tarehe 28 mwezi february mwaka huu 2013. Hayo yanatokea baada ya kuona kwamba afya yake haimruhusu kuendelea kuongoza kanisa hili kubwa ambalo lina zaidi ya waumini 2m duniani kote.
Benedict ni Papa wa 265 katika orodha ya mapapa wa kanisa Katoliki tangu kuasisiwa kwake na Mt. Petro mwaka wa 32 Baada ya Kristo. Baba Mtakatifu Benedict XV1 aliingia madarakani Mwaka 2005 akichukuwa wadhifa huo baada ya aliyekuwa Baba Mtakatifu Yohane Paulo 11 kuaga Dunia.
Ni Papa wa Kwanza kutangaza kujiuzulu Baada ya Miaka 600 kwani mara ya Mwisho kutangaza kujiuzulu ilikuwa mwaka 1415 ana aliitwa Papa Gregory X11.
Sasa hapa Nitakuletea kwa ufupi habari za Maaskofu hawa wakuu wa kanisa katoliki Kuanzia Mt. Petro Mpaka Baba Mtakatifu atakaye fuata Baada ya huyu Benedict wa kumi nasita ambaye ni Baba Mtakatifu wa 265.

No comments:
Post a Comment