Friday, December 28, 2012

nyumbani ni nyumbani, lazima tukumbuke. hapa ni upareni wakati tunatembelea wazazi wetu . Mama Junior akiwa ametoka sokoni.



kazi ni sehemu muhimu katika maisha, kwanza kupata kipato na kuendesha maisha yako vizuri. lakini kutuliza akili kwa michezo ni jambo jema zaidi. hapa tupo gidamilanda mang'ola baada ya kazi za kutwa nzima tunacheza karata.
wakati wa Mvua nchi inaonekana kupendeza sana. ila jua linapowaka hali inakuwa tofauti, hapa ni sehemu tu ya nchi katika milima ya upareni

Wednesday, December 12, 2012

WAPENZI WANGU WOTE NAWATAKIA KILA LA HERI NA  BARAKA ZA KRISMAS NA MAANDALIZI YA KUUPOKEA MWAKA MPYA WA 2013
MUNGU AENDELEE KUWA PAMOJA NANYI SIKU ZOTE.
Ndugu zangu nawaalika katika blog hii mpya ya MWANGA WA JAMII. Lengo la kuianzisha ni kuweza kushirikishana mambo mabalimbali yanayohusu familia zetu na kutuunganisha wote ili tuweze kusaidiana na kama kawaida tujuavyo waafrika sio wachoyo wa Fadhila


ungana nasi na Tuijenge jamii yetu.
asanteni sana.