OUR FAMILY OUR LIFE AND OUR FUTURE WAPENDWA NAWAKARIBISHA HAPA ILI TUWEZE KUIJENGA JAMII YETU KWA MAWAZO NA MATENDO YETU. HII NI MALI YA JAMII KWA HIYO KILA MTU ANAWEZA KUCHANGIA NA KUPATA MCHANGO WA KILA MWANAJAMII. KARIBUNI SANA MWANGA WA JAMII.
Wednesday, December 12, 2012
Ndugu zangu nawaalika katika blog hii mpya ya MWANGA WA JAMII. Lengo la kuianzisha ni kuweza kushirikishana mambo mabalimbali yanayohusu familia zetu na kutuunganisha wote ili tuweze kusaidiana na kama kawaida tujuavyo waafrika sio wachoyo wa Fadhila
ungana nasi na Tuijenge jamii yetu.
asanteni sana.
ungana nasi na Tuijenge jamii yetu.
asanteni sana.
Subscribe to:
Comments (Atom)

