Ndugu zangu nawaalika katika blog hii mpya ya MWANGA WA JAMII. Lengo la kuianzisha ni kuweza kumulika jamii yetu kwa mapana zaidi ili tuweze kuliongoza taifa letu kwa ujumla.
Tuelezane habari za jamii na maisha yetu ya kila siku, jinsi ya kujikwamua kimaendeleo na kielimu zaidi. Jinsi ya kuondokana na umasikini na mambo mengine kama hayo. Nawaalika wote bila kubagua.karibuni sana.
Josephat E Msoffe
MWANGA WA JAMII.
No comments:
Post a Comment