![]() |
| St. Linus 2nd Pope 67-76 |
OUR FAMILY OUR LIFE AND OUR FUTURE WAPENDWA NAWAKARIBISHA HAPA ILI TUWEZE KUIJENGA JAMII YETU KWA MAWAZO NA MATENDO YETU. HII NI MALI YA JAMII KWA HIYO KILA MTU ANAWEZA KUCHANGIA NA KUPATA MCHANGO WA KILA MWANAJAMII. KARIBUNI SANA MWANGA WA JAMII.
Wednesday, February 20, 2013
![]() |
| St. Peter The First Pope of Catholic Church. 32--67. B.C |
Na aliongoza Kanisa katoliki Toka Mwaka wa 32 hadi Mwaka wa 67. alipouwawa kwa kusulibiwa katika Msalaba . katika kifo chake Petro alipoona Msalaba, alikataa kusulibiwa kama Yesu ambaye ni Mwokozi ila akawaambia wamsulibishe kichwa chini miguu juu, ili asijifananishe na Mwokozi. Ndivyo ilivyokuwa Mwisho wa Petro na nafasi yake ikachukuliwa na Baba Mtakatifu Linus kutoka Mwaka huo wa 67
Baba Mtakatifu Benedict XV1 2005---2013
KANISA KATOLIKI LA ROMA NA VIONGOZI WAKE.. 01.
Baba Mtakatifu Benedict XV1 ametangaza kujiuzulu ifikapo tarehe 28 mwezi february mwaka huu 2013. Hayo yanatokea baada ya kuona kwamba afya yake haimruhusu kuendelea kuongoza kanisa hili kubwa ambalo lina zaidi ya waumini 2m duniani kote.
Benedict ni Papa wa 265 katika orodha ya mapapa wa kanisa Katoliki tangu kuasisiwa kwake na Mt. Petro mwaka wa 32 Baada ya Kristo. Baba Mtakatifu Benedict XV1 aliingia madarakani Mwaka 2005 akichukuwa wadhifa huo baada ya aliyekuwa Baba Mtakatifu Yohane Paulo 11 kuaga Dunia.
Ni Papa wa Kwanza kutangaza kujiuzulu Baada ya Miaka 600 kwani mara ya Mwisho kutangaza kujiuzulu ilikuwa mwaka 1415 ana aliitwa Papa Gregory X11.
Sasa hapa Nitakuletea kwa ufupi habari za Maaskofu hawa wakuu wa kanisa katoliki Kuanzia Mt. Petro Mpaka Baba Mtakatifu atakaye fuata Baada ya huyu Benedict wa kumi nasita ambaye ni Baba Mtakatifu wa 265.
KANISA KATOLIKI LA ROMA NA VIONGOZI WAKE.. 01.
Baba Mtakatifu Benedict XV1 ametangaza kujiuzulu ifikapo tarehe 28 mwezi february mwaka huu 2013. Hayo yanatokea baada ya kuona kwamba afya yake haimruhusu kuendelea kuongoza kanisa hili kubwa ambalo lina zaidi ya waumini 2m duniani kote.
Benedict ni Papa wa 265 katika orodha ya mapapa wa kanisa Katoliki tangu kuasisiwa kwake na Mt. Petro mwaka wa 32 Baada ya Kristo. Baba Mtakatifu Benedict XV1 aliingia madarakani Mwaka 2005 akichukuwa wadhifa huo baada ya aliyekuwa Baba Mtakatifu Yohane Paulo 11 kuaga Dunia.
Ni Papa wa Kwanza kutangaza kujiuzulu Baada ya Miaka 600 kwani mara ya Mwisho kutangaza kujiuzulu ilikuwa mwaka 1415 ana aliitwa Papa Gregory X11.
Sasa hapa Nitakuletea kwa ufupi habari za Maaskofu hawa wakuu wa kanisa katoliki Kuanzia Mt. Petro Mpaka Baba Mtakatifu atakaye fuata Baada ya huyu Benedict wa kumi nasita ambaye ni Baba Mtakatifu wa 265.Wednesday, December 12, 2012
Ndugu zangu nawaalika katika blog hii mpya ya MWANGA WA JAMII. Lengo la kuianzisha ni kuweza kushirikishana mambo mabalimbali yanayohusu familia zetu na kutuunganisha wote ili tuweze kusaidiana na kama kawaida tujuavyo waafrika sio wachoyo wa Fadhila
ungana nasi na Tuijenge jamii yetu.
asanteni sana.
ungana nasi na Tuijenge jamii yetu.
asanteni sana.
Ndugu zangu nawaalika katika blog hii mpya ya MWANGA WA JAMII. Lengo la kuianzisha ni kuweza kumulika jamii yetu kwa mapana zaidi ili tuweze kuliongoza taifa letu kwa ujumla.
Tuelezane habari za jamii na maisha yetu ya kila siku, jinsi ya kujikwamua kimaendeleo na kielimu zaidi. Jinsi ya kuondokana na umasikini na mambo mengine kama hayo. Nawaalika wote bila kubagua.karibuni sana.
Josephat E Msoffe
MWANGA WA JAMII.
TUMETOKA WAPI TUPO WAPI NA TUNAENDA WAPI.
Jamii zetu za Kitanzania, mara nyingi sana ni za watu wa matabaka matatu tofauti, yaani zile zinazo ishi maisha ya kawaida na za pili ni zile ambazo zinaishi maisha ya shida sana yaani ya kimaskini chini ya dola moja ya kimarekani kwa siku moja. Na kundi la tatu ni hili linaloishi maisha ya kitajiri yaani linatumia hadi dola 10 kwa siku na kuwa na sehemu nzuri ya kujihifadhi na pia kujilimbikizia mali nyingi kwa ajili ya wakati ujao.
Hebu tuangalie haya makundi katika jamii.
Wakati mwalimu nyereren alipoikomboa nchi hii lengo lake kuu lilikuwa ni kujenga nchi ya ujamaa na kujitegemea, ndio maana kukawa na mabo mengi kama uanzishwaji wa vijiji vya ujamaa katika baadhi ya miji hapa nchini.
Lakini sasa ujamaa umekufa, hatuwezi kujiita watanzania wote, wapo watanzania naupa watanganyika bado. Kwani wapo ambao wanaweza kula na kutupa chakula,kwenye pipa la taka lakini wapo ambao hata mlo mmoja unakosekana kwa siku. Kwanini mwingine apate na mwingine akose? je hali hii inaeleza kwamba wapo wenye akili sana zaidi ya wengine?
Hebu tuone kuwa hapa Tanzania ili uweze kuwa na kazi nzuri na kuishi maisha mazuri ni lazima uwe na elimu ya kutosha na kuwa na ujuzi fulani utakao kupatia kipato kidogo cha kujikimu. Wapo ambao wanafanya kazi kubwa sana na wanavuja jasho sana, lakini bado utakuta wanaishi maisha ya shida sana hata kuliko wale ambao wanafanya kazi za kawaida. Jambo hili linaweza kuifanya hii jamii ya kitanzania ilio kwenye kazi ngumu na kuacha kufanya kazi hizo na kujiingiza kwenye kazi nyingine. Mfano mkulima wa kawaida, yeye na jembe jembe na yeye halafu inafika wakati wa mavuno, wanunuzi wanakuja na kununua kwa bei rahisi bila kujua kuwa huyu bwana alitumia nguvu sana katika kuandaa shamba pamoja na kupata mbegu pamoja na kilimo.Ndugu zangu hebu tujadiliane kujua kuwa ni jambo gani hasa lifanyike ili kweza kuisaidia jamii hii?
Subscribe to:
Posts (Atom)




